Writen by
sadataley
10:18 AM
-
0
Comments
chaguzi wa Urais wa chama cha wanasheria Tanganyika unatarajiwa
kufanyika kesho March 18 2017, wakati ukisubiria uchaguzi huo,
umefanyika mkutano mkuu wa chama cha wanasheria wa Tanganyika na Mgombea
wa nafasi hiyo Tundu Lissu alipata nafasi ya kueleza sababu za kugombea
nafasi hiyo.
“Sababu za mimi kugombea Urais wa TLS ni kutaka kurudisha heshima ya Wanasheria na Mahakama ikiwa kama chombo kikuu cha haki”– Tundu Lissu
“Sababu za mimi kugombea Urais wa TLS ni kutaka kurudisha heshima ya Wanasheria na Mahakama ikiwa kama chombo kikuu cha haki”– Tundu Lissu

No comments
Post a Comment