Tuesday, June 13, 2017

Shomari Kapombe akabidhiwa uzi wa Simba

Baada ya kusaini miaka miwili jana, hatimaye Shomari Kapombe amekabidhiwa uzi wa Simba.

Unaweza kujua ni uzi mpya kwa kuwa una ile nembo ya SportPesa ambao ndiyo wadhamini wapya wa Simba kwa miaka mitano ijayo kuanzia msimu ujao.

Rais wa Simba, Evans Aveva ndiye alimkabidhi Kapombe jezi hiyo.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment