Thursday, July 20, 2017

Barthez asaini miaka miwili Singida United

Kipa mkongwe, Ally Mustafa Mtinge 'Barthez' akizungumza na Waandishi wa Habari leo mjini Dar es Salaam baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na Singida United kama mchezaji huru baada ya kuondoka Yanga
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment