Thursday, July 20, 2017

Liverpool yaibamiza Crystal Palace 2 - 0

Mshambuliaji Divock Origi akifurahia baada ya kuifungia Liverpool bao la pili dakika ya 79 ikiilaza 2-0 Crystal Palace katika mchezo wa kuwania taji la Ligi Kuu Asia leo Uwanja wa Hong Kong mjini Hong Kong, China. Bao la kwanza lilifungwa na Dominic Solanke dakika ya 61 baada ya kutokea benchi kipindi cha pili na sasa Liverpool itacheza na Leicester City katika fainali
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment