Thursday, July 6, 2017

Faida za kula kisamvu

Ulaji wa kisamvu kwa wingi ni muhimu kwa sababu zifuatazo;

  1. Kuua bacteria mwilini
  2. Chanzo cha protini.
  3. Kulinda ini.
  4. Chanzo cha madini ya chuma
  5. Kuongeza damu na kuzuia anemia.
  6. Kuongeza ubora wa mbegu za uzazi za mwanaume.
  7. Kupunguza kiwango cha sukari kwenye damu.
  8. Kupunguza kiwango cha kolesteroli mwilini.
  9. Kuboresha kiwango cha wamama wanonyesha.
  10. Kuimarisha kinga za ini mwilini.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment